Showing posts with label http://www.blogger.com/img/blank.gif. Show all posts
Showing posts with label http://www.blogger.com/img/blank.gif. Show all posts

Aug 8, 2010

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADAWATI 140 SHULE YA SEKONDARI TEMEKE!!

Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Temeke, baada ya kuikabidhi shule hiyo msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki. Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule (Kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Temeke, Eutrophia Tarimo, msaada wa madawati 140 yenye thamani ya shilingi milioni 10, msaada huo ni mwendelezo wa msaada wa vyumba vya madarasa vitatu vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vilivyokabidhiwa na mfuko huo kwa shule hiyo mwaka jana, , makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA