Mar 27, 2011

tamasha la upendo la KKKT lafanyika jijini dar

tamasha la upendo la KKKT lafanyika jijini dar

rais kikwete akutana na boss mkuu wa vodacom group


Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, (Vodacom Group ) Pieter Uys, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare.Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi (Vodacom Group) , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi (Vodacom Group) Pieter Uys baada ya kuktana na ujumbe wa kampuni hiyo Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare. Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati alipoongozana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, (Vodacom Group) , Pieter Uys (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare

TANZANIA MUSIC AWARDS. PART 2

Msanii C-Pwaa akikabidhiwa tuzo ya video bora ya muziki wa mwaka uitwao Action pia aliibuka na tuzo nyingine ya wimbo bora wa Ragga/dancehall uitwao Action

Wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi ulienda kwa msanii wa vichekesho Mpoki

Wimbo bora wa RnB Nikikupata ulienda kwa msanii Ben Pol

Kushoto ni mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Combinations Sound aka Combinenga Man Water akipokea tuzo ya mwimbaji bora wa kiume kwa niaba ya 20% kutoka kwa mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd Juhyana Kusaga.
TUZO ALIZOCHUKUWA 20% NI
1. Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa Mbaya
2. Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
3. Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume
4. Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
5. Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume

Wimbo bora wa Hip Hop Karibu Tena ulienda kwa msanii Joh Makini

Mwimbaji bora wa kike tuzo ilienda kwa Lady JD

Mtayarishaji bora wa nyimbo Lamar

Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikishwa tuzo ilienda kwa JCB na Jay Moe

Mwenyekiti wa Tanzania mitindo house, Khadija Mwanamboka akimkabidhi msanii wa kizazi kipya Linah tuzo ya msanii bora wa kike, pia Linah alichukua tuzo ya msanii mpya anayechipukia

Wimbo Bora wa Reggae, What u Feel Inside - Hardmad

Kushoto ni msanii Bonta, JayMoe, Ksingo, Nikki wa Pili na Ruben

kili musik awards 2011 @ Diaond Jukilee






















kwa msaada wa blog jirani

MELI YA JESHI LA WANAMAJI KUTOKA CHINA YAWASILI NCHINI LEO



MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Afande Zhang Huachen (mwenye sare nyeupe katikati) akipokewa na mwenyeji wake, Mkuu wa Jeshi la maji nchini Meja Jerenali Said Shaban Omar mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akisalimia na Maafisa wa Jeshi la wanamaji wa hapa nchini mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akiwa na Mkuu wa Jeshi la wanamaji la hapa nchini Meja Jenerali Said Shaban Omar mara baada kupokelewa leo (jana) asubuhi katika Bandari ya Dar-Es-Salaam. Wakiwa hapa nchini jeshi hilo la wanamaji kutoka China
Raia wa nchini China waishio Tanzania wakiwa katika shamrashamra za kuipokea Meli za Kijeshi(kwa msaada wa blog jirani)

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA