About JIWE

Jackson John Jackson ndilo jina langu halisi though unapokuwa majina mengi yanaibuka,so jina la JIWE MWANAKIJIJI lilianza kutumika miaka mingi iliyopita wakati nasoma darasa la kwanza pale MWONGOZO shule ya msingi ndipo wakati huo jina la JIWE lilianza pole pole hasa wakati ninapokuwa nikicheza mpira with ma classmate ndipo jina hilo lilipokuwa likikua bse of jamaa walikuwa wakinichezea rafu sana then mwisho wa siku wakawa wanaumia wenyewe so ndo wakawa wananifananisha na JIWE ndo likaendelea up to dis tym likaongezeka la mwanakijiji bse nilipokuwa sekondari 2007 jamaa walikuwa wakiniita mshamba wa kijijini so nikajiuliza mkazi wa kijijini anitwa nani nikapata mwanakijiji so ikabidi niunganishe kuwa JIWE MWANAKIJIJI.DATS ME

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA