Jul 31, 2012

MAGAZETI YA LEO JULY 31/2012



.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.


.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

BAHANUZI: NITATUA TATIZO LA MAGOLI STARS - POULSEN ANIITE TU



Top Scorer wa michuano ya Kombe la Kagame, Said Bahanunzi wa Yanga amesema kwa sasa anafikiri ni wakati wake kuitwa kikosi cha timu ya Taifa Stars.Mshambuliaji huyo aliyejiunga na Yanga akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro.


"Nafikiri kwa sasa tuna tatizo la ufungaji timu ya taifa, naamini nitakapopewa nafasi nitaendeleza haya niliyofanya Kagame na timu kupata ushindi."Aliongeza: "Siri yangu kubwa kuibuka mfungaji bora ni kwa sababu nilimtanguliza Mungu mbele kwa kila jambo na kujituma."

"Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya dini, ninamwamini zaidi mwenyezi Mungu kuliko chochote."
"Sidhani kama kweli kuna uchawi kwenye soka, ni imani potofu za watu wachache, nimejipanga kufanya vizuri zaidi na siyo kuishia hapa."

"Kila jambo nalofanya namtangulia Mungu, nafikiri ndiyo siri kubwa yangu kufanya vizuri kwenye mashindano ya Kagame.

Aliongeza kusema ushirikiano kati yake na wachezaji ulimsaidia kujiona yuko nyumbani na kujituma zaidi.
Bahanunzi alishawahi kuichezea Ocean View ya Zanzibar na Mtibwa Sugar ya Morogoro kabla ya kutua Yanga msimu huu.



Source:Mwananchi

Ney wa Mitego - Nasema nao (Official Video)

BAADA YA KUHARIBU KAGAME SIMBA SASA WATEMBEZA PALANJA




MAKAMU Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyange Kaburu amesema wapo kwenye hatua za mwisho za kupata saini ya beki wa APR, Mbuyu Twite kuziba pengo la Kelvin Yondani aliyetimkia Yanga.Akizungumza jana, Kaburu alisema mpango wao wa kuimarisha kikosi chao unakwenda vizuri na umepata baraka zote za kocha Milovan Circkovic.

Alisema beki huyo amekubali kucheza Simba msimu ujao."Ni mapema kutaja kiasi cha fedha tutakachotumia kukamilisha usajili wake, lakini wiki ijayo atatua nchi kwa lengo la kukamilisha usajili." alisema Kaburu.

Akithibitisha hilo kwa simu jana kutoka Kigali, Rwanda, Twite alisema kuwa anashawishika kuja kukipiga Simba baada ya viongozi wa klabu hiyo kuzungumza naye.

"Ukweli ni kwamba jana (juzi) kabla hatujarudi nyumbani Rwanda nilikutana na watu wa Simba tukazungumza ili nije kuichezea timu yao, niliwaambia nipo tayari ingawa hatukufikia muafaka wa moja kwa moja.
"Hata hivyo, hakuna shaka kwamba mambo yatakwenda vizuri na hatutashindwana kwa vile binafsi napenda kuja kucheza Tanzania," alisema Twite

Kuhusu dau analohitaji ili aweze kujiunga na Simba,Twite hakuwa tayari kusema.
Katika hatua nyingine, Kaburu alisema kabla ya kocha Milovan kuondoka alishauri kuachwa kwa beki Lino Musomba, Haruna Shamte pamoja na Salim Kinje.

"Kocha ameonyesha kutoridhisha na viwango vya wachezaji hao hivyo ameshauri tuwaache," alisema na kuongeza:
"Musomba alionekana kama hayuko tayari kucheza, naye Shamte ameshindwa kuonyesha kiwango hivyo ametushauri kuwaacha.

Kuhusu ushiriki wa Simba kwenye michuano ya Kombe la BancABC Supa 8, kiongozi huyo alisema hawatashiriki kutokana na maslahi duni.

Kaburu alisema katika mkataba uliongia kati ya TFF na wadhamini wa michuano hiyo unaonyesha shirikisho lilitapokea asilimia 50."Sisi kama wadau wakubwa wa mashindano hayo tulipaswa kushirikishwa tangu mwanzo ili tufaidike kuliko ilivyokuwa sasa."

Ukiangalia mkataba huo utaona kila timu inapewa Sh5 milioni za maandalizi, na zawadi anapewa bingwa pekee ambayo ni Sh30 milioni."Hakuna zawadi ya mshindi wa pili, watatu sasa hayo ni mashindano gani, hatutoshiriki na endapo tutaamua kucheza basi tutaitumia timu ya vijana chini ya miaka 20.

Source:Mwananchi.co.tz

HIKI NDO KINAENDELEA KWENYE OLIMPIC




RankCountry GoldSilverBronze
1 95317
2 57517
3 3137
4 3014
5 2428
6 2226
7 2035
8 2002
9 14611
10 1214
11 1203
12 1113
12 1113
14 1102
15 1023
16 1001
16 1001
16 1001
19 0202
20 0123
21 0101
21 0101
21 0101
21 0101
21 0101
21 0101
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011
27 0011

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA