May 20, 2013

MBUNGE MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI MCHANA HUU IRINGA


Mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji  Peter Msigwa akishuka katika gari ya  polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana  huu katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa  wa Iringa  pamoja na  watuhumiwa  wengine  zaidi ya 60 .
 
 
Huku  polisi  wakiweka ulinzi mkali katika eneo hilo la mahakama  mchana  huu na kuwazuia wafuasi  wa  Chadema  waliofika  kushuhudia  kesi hiyo nje ya  geti.

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA