Mchezaji Ramadhani Chombo Ledondo mchana huu amesaini Mkataba wa
kuitumikia timu ya Simba baada ya kuwa ametolewa kwa Mkopo msimu
uliopita. Habari za kina zitakujia Punde zikiambatana na Picha za
Kutiliana Saini kwa Mkataba Huo. Hii ni www.mwanatanga.blogspot.com
yenye habari za Uhakikika na Ukweli hapa Hakuna TETESI ni Habari
zilizopimwa

No comments:
Post a Comment