oya sasa muda ushafika fanyeni mtune to 106.5fm hapa mlimani nakaribia kuanza interview na kaka yangu JIWE MWANAKIJIJI jembe la ukweli ashee!!!!!
MWANAKIJIJI 4REAL
Ni globu ya kijamii inayojihusisha na mambo yote ya kijamii,natumaini jamii yangu ya kitanzania itafaidika sana pindi ichukuapo fursa ya kuperuzi kwenye globu hii,dhamira yangu ni kufikisha ujumbe pamoja na kuiburudisha jamii yangu na furaha yangu ni kuona natimiza dhamira yangu kwako.natumaini kuwa wewe utaniunga mkono kwa kile ambacho nataka kukifanya kwa ajili ya jamii yangu ya kitanzania.NASHUKURU KWA KUNIELEWA.
No comments:
Post a Comment