
kuna taarifa ambazo nimezisikia katika moja ya radio za hapa nyumbani tanzania kuwa yule msanii nguli toka katika kundi la TIP TOP CONNECTION khadija shaabani aka KEISHA ameamua kujiondoa katika kundi hilo kwa kile alichodai madai yaliyopitiliza dhidi ya meneja wake anayejulikana kama BABU TALE.sijapata uhakika sana juu ya hili ila naahidi alhamisi ya wiki ijayo kila kitu kitakuwa tayari na ukweli utaupata hapa hapa bloguni kwako.
No comments:
Post a Comment