
mkali wako JIWE THE DJ aka SERIAL NUMBER kabla ya kuzama mastudio kugonga show ya kizazi kipya mchana wa leo ambapo hii leo tulikuwa na mkali wa kitambo ambaye anarejea tena kwenye gemu ya kizazi kipya,hapa namzungumzia SUMA G.

bi shost ambaye kitambo alikuwa akikamuaa kwenye kipindi hiki cha kizazi kipya kabla ya kuniachia mikoba rasmi,sis anajulikana kama sylivia mwehozi aka WHITE akijiandaa kabla ya kugonga interview na SUMA G wakati huo mkali wako niko chimbo nikigonga mawe mwanzo mwisho aisee.

sumaaaaaaaaaaa!!!!!!!!vipi uko poa?kama vipi vuta mic twende sawa mana jamaa wanamzuka sana wa kuisikia sauti yako mana kitambo sana aisee.

No comments:
Post a Comment