
''max hakikisha unapiga shot za ukweli mana ni muhimu sana na inawekwa kwenye documentary ya chuo''dir zuhura selemeni akitoa maelekezo

kijana wa kazi akiwa kazini katika kuhakikisha mlimani tv upande wa habari unakuwa na story za kutosha toka katika viwanja hivi vya saba saba

chief injinia wa mlimani tv& radio Stanley Nathan Chungu akiwa kwenye kuhakikisha kuwa hakuna kinachoharibika kwenye banda la mlimani tv&radio.

mpiga picha kiongozi wa mlimani tv maximilian john ngobe akiwa kwenye harakati za kazi kama kawaida yake

tanesco nao walikuwepo katika kuhakikisha kila kitu kuhusu umeme kinakuwa poa,pongezi kwa hilo

na hili ndo vazi rasmi la zain ingawa kiukweli ni miungoni mwa mabanda yaliyokuwa yamepooza sana mana hata maandalizi yao hayakuwa ya uhakika.



karibu na banda la maliasili watu walikuwa wengi sana kushuhudia wanyamapori waliokaushwa na walio hai,kiukweli banda linavutia sana aisee

usishangae sana hilo ndo vazi rasmi la heineken kipindi hiki cha saba saba,dizaini mpaka uwe umefaulu somo la big wowowo!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment