
Huku mamilioni ya waafrika wakiipigia chapuo timu ya taifa ya ivorycoast,hii leo imekubali kichapo cha magoli matatu kwa moja toka kwa miamba wa soka duniani wanao ongoza kwa ubora duniani(brazil),huku wakishuhudia kiungo wake mchezesha timu aliyesaidia kupatikana kwa goli la kwanza(kaka)akisukumizwa nje kwa kadi ya pili ya njano na kumfanya kukosa michezo miwili.
sina shaka matumaini ya waafrika walio wengi yamebakia kwa timu ya taifa ya Ghana ambayo iko kileleni katika kundi lake ambapo itashuka dimbani kukamilisha ratiba na timu ngumu ya ujerumani huku ikihitaji sare ili iweze kusonga mbele kwenye hatua ya 16 bora,kila la kheri ghana.
No comments:
Post a Comment