Akiongea na jiwe Kiongozi na Meneja wa kundi hilo, Babu Talle alisema kuwa, albamu hiyo itakuwa na nyimbo nane zitakazoimbwa kwa kushirikisha baadhi ya wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini.

Talle alisema karibu nyimbo zote za albamu hiyo zimekamilika na baadhi kuanza kurushwa hewani kwa nia ya kuitambulisha.
“Tumeamua kuachia albamu ya kundi letu la Tip Top Connection iitwayo ‘Bado Tunapanda,’ ni baada ya kuhakikisha karibu kila msanii mwanachama ametoa kazi yake binafsi nje ya kundi” alisema Talle.
Talle aliongeza kuwa, wimbo unaobeba albamu hiyo, tayari umeshaanza kurushwa hewani na unatarajiwa kutambulishwa rasmi kwa wapenzi na mashabiki wao na kuwataka wakae tayari kuupokea ujio wao mpya na albam kali
No comments:
Post a Comment