POLE KAKA MKUBWA KWA KUWA GONJWA
Nilipotembelea blog yake asubuhi ya leo ndo nikakutana na maneno haya hapa chini''Ndugu zangu jana usiku nimeng'oa jino so maumivu nayoyapata nimeamua kutulia tu nyumbani, naomba ki mda kidogo nikiwa sawa nitaliendeleza gurudumu hili ndugu zangu, nawatakia weekend njema.Samahani kwa usumbufu utakao tokea.NAWAPENDA SANA.ONE'' pole sana bro mungu atakupa afya njema soon ili uendeleze libeneke la kuwapa watanzania habari.
THE DON HIMSELF
Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)
No comments:
Post a Comment