
jamaa alipotea tena kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya kabla ya hivi karibuni kurejea tena na ngoma kali iliyojaa UDAKU wa kila namna inayojulikana kama GAZETI.Na kwa taarifa nilizozipata toka kwa meneja wake GURU RAMADHANI ni kwamba jamaa atakuwa chini ya yake.
No comments:
Post a Comment