
baada ya kufanikisha dhamira yake jamaa alishangilia kwa nguvu huku askari wakimuangalia na wasijue la kufanya mpaka pale kaka alipomtaka atoke ili waendelee kusukuma gozi kama kawa ndipo jamaa alipotoka na kushangilia kwa nguvu kana kwamba alipiga hat trick.je kwa hili mazoezi waliyofanya polisi kudhibiti raia wasifanya fujo kwenye mtanange huo yalikuwa ya nini?KOVA MH?
No comments:
Post a Comment