Dec 21, 2011

SAM WA UKWELI - KAKA BILA 2.5M SIPIGI SHOW WAKATI NDO HUU STAKI JUTA BAADAE

''kaka siku zote nimekuwa nikiumiza sana kichwa ili siku moja niweze kuishi kwa single moja kwa miaka hata kumi kama wenzetu wanavyoishi na ndio sababu inayonifanya mimi kupiga show kuanzia milioni 3 na mwisho wangu kufanya show kwa tanzania ni milioni mbili na nusu sasa we ukija na laki tano yako hata kuwalipa danscers wangu bado haitatosha nitawezaje kupiga show?muziki hauna mwenyewe walikuwepo wakali wengi sana kwenye game lakini walivyopotea mungu mwenyewe ndo anajua,kama huu ni wakati wangu basi acheni niutumie ipasavyo kinyume na hivyo naweza kuja juta baadae kaka''.


hapa vipi inafaa ama tubadili pozi????
''jiwe kwa sasa nina mialiko mingi sana nje ya nchi na nashukuru mungu kwamba kwa sikukuu hizi za krismass nitakuwa katika nchi ya malawi kuanzia tarehe 24 mpaka tarehe 27 so kama utasikia show yoyote inatangazwa then ukasikia kuwa sm wa ukweli aka mjukuu wa bonele yupo jiulize mara mbili kisha jipe jibu kuwa unaibiwa sama kwa siku hizo hatokuwepo nchini.''
kichwa kinauma nina mishe kibao hazijamalizika na mbaya zaidi mvua ndo zinazidi kuzingua ashee
kawaida tu usishangae sana
sasa mdogo wangu umetoa wapi ndevu mpaka unatufanyia za kibasha ama kwa kuwa kichenchede ndo kilikuwa kinakumulika basi mixer na kushika mzuzu kama unao mh?
haya mwana tumeiona tatoo yako ashee!!!!!!
full pozi ashee hapa alikuwa akichapwa picha za kuuza kwenye gazeti moja hapa mjini.
sasa mbona huyu bibie hataki kupokea simu nini tatizo tena mh?Jiwe isije kuwa naibiwa ndugu yangu si unajua haawaminiki hawa.


oya sasa muda ushafika fanyeni mtune to 106.5fm hapa mlimani nakaribia kuanza interview na kaka yangu JIWE MWANAKIJIJI jembe la ukweli ashee!!!!!

sasa we jamaa hapa unaongea na simu ama ndo mixer kuuchapa kidizaini?sijui nilikuwa napiga soga na nani hapa kiasi nikatulia mfano haupo ashee
MWANAKIJIJI 4REAL

Dec 20, 2011

LULU MICHAEL AAMUA KUSANUA YA MOYONI ASHEE!!!!!

MIMI NI KATI YA WASANII WACHACHE SANA AMBAYE NIKITEMBEA NA MWANAUME ATAFEEL UTAMU, SIO KAMA WENGINE WAMEKUBUHU WAMEARIBIKA , HADI SASA WANAAMUA KUTOA PENZI KUNYUME NA MAUMBILE, ESPECIALLY MOVIE STAR TENA MAJINA YAO NAYAJUA SEMA TU NAWAHIFADHI SIKU WAKINITIBUA NAWATAJA, I AM ALMOST VIRGIN BY THE WAY, AM UNDER 19NALILIWA MIMISINA MPINZANISIO KICHECHENINA ELIMUMI MZURISTAR



kudadadeki mtoto still sild ashee pozi milioni utamtaka?
vipi tena mamitoo umeachika ama ndo dizaini mbwembwe ka dereva wa guta mixer kasimamia na kashati katupa begani mixer ashike break kwa mkono ili muradi mbwembwe teh teh teh teh
sema kama huwezi kuhonga nyumba na kila kilichomo mtoto ana kila kitu we unataka nini cha ziada?

Dec 18, 2011

UDSM - DIPLOMA CLASS 2011 KWENYE STUDY TOUR HUKO KUNDUCHI RUINS

jamaa ukimuangalia tu unamuuzia kesi bonge la tapeli wanamuita BOBAN kisa anaitwa HARUNA na ki ukweli amefanana sana na BOBAN halisi ila sio kitabia ashee
baada ya kuzunguka sana eneo la makumbusho ndani ya kunduchi ruins wanafunzi walipata muda wa kushangaa kidogo kunako pwani ashee
kubadilishana mawazo ni jambo jema wakati wowote pasina kujali wapi upo
sasa we jamaa mwenye white ndo ulikuwa unacheza kiduku kwa mgongo wa mwenzako ama ndo zile za utoto unamb..............dada mwenye kampesi bado anazo zile za kupiga picha huku anaimba wimbo wa taifa yaani mguu sawa ashee
wanafunzi wakijumuika kupiga picha ya pamoja baada ya kumaliza kuzunguka huku na huko
wasije wakawa wananisema kuwa nimewaelezea kikanyanga maana mijanafunzi ya siku hizi inajua kuliko waalimu wao ngoja nizuge najifuta jasho nijisogeze karibu yao nijue kwa nini wamejitenga na wenzao.
dogo kagoma kuelewa somo,kwani vipi alikuwa aikutokea ama?mbona sasa umekunja sura namna hiyo we mmasai wa town?
bonge mzito full kutake data ili asije akazingua kwenye paper ya mwisho ila we jamaa piga tizi mwanao atakuwa akijificha pao chini mvua ikiwa inanyesha asiloe teh teh teh teh teh teh kweli kitambi noma asee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
so tide baada ya kutoa lecturer kwa wanafunzi wangu nadhani watakuwa wamepata kitu maana mwenda bure sio sawa na mkaa bure ila wasiofika ole wao mi nataka report na report ina mark kwenye mtihani wao wa mwisho sijui wasiokuja wataniambia nini asee!!!!!!!
haya bwana sasa mmekwenda kujifunza ama mmekwenda kutanua nashindwa kuwaelewa ashee
machumu mdada wa ki.......akiwa na chalii wa R pamoja mtunza malikale za kunduchi mzee ambaye amekuwa kunduchi toka enzi hizo viwanja watu wanapewa bure mpaka leo bado yupo maeneo hizo sasa swali la msingi la kumuuliza ni ''elimu yake iko vipi?''kama ajaenda kwenye mbuyu kulalamika kudadadeki.
kijana angalia nimeweka pozi milioni nisipo pata picha yangu tutaonana wabaya shauri yako.
kama unataka kuogelea we nenda ila usinilaumu sikukwambia chalii teh teh teh teh bora simba ale mimi sio samaki jamani.

yawezekana ukawa hujawahi fika haya maeneo na kwa haraka waweza sema kuwa hapa tupo kaole bagamoyo,utakuwa umekosea sana bse hapa ni ndani ya jiji la dar maeneo ya kunduchi yalipo makaburi haya ya zamani yaliyotumika kuwazika waarab na waswahili enzi hizo ukiwa unatembea na dingi yako kwenye kaptula teh teh teh teh teh KUNDUCHI RUINS
sasa lecturer haya makaburi ama vijumba vya kufugia kuku mbona makaburi ya siku hizi hayako hivyo?
moja kati ya mibuyu ya zamani inayokadiriwa kuwa na miaka zaidi ya mia 300 ambayo zamani pipo waliitumia kama sehemu ya kwenda kueleza shida na matatizo mbali mbali na kutokana na imani yao kwa mtii huo matatizo yao yalikata kama mwanamke kukosa mtoto kwa muda mrefu so walipofikisha mashitaka yao kwa hakimu mbuyu pasina hiyana hakimu aliamuru mwanamke apewe mtoto faster,kweli zamani ilikuwa raha sana mi ningeenda kuomba mpunga aka pesa za kusaza ashee.
vivutio vingine ni boga kwa raiyaa wa kitzzz unabishaaaaaaaaaa?kitu cha kaa kudadadeki ukiwakuta wenyewe wa pwani utajuta kuwaona wanavyomkulaga ashee

Dec 17, 2011

SPEAKIN OF NU SHIT OF DA TOWN - ZOOM PRODUCTION LOCATED AT MAGOMENI MWEMBE CHAI NEAR MWEMBE CHAI PLAZA

Yawezekana ukawa hujawahi sikia juu ya hii swagga mupya inayosumbua sana kwenye medani ya muziki kwa hapa TZ let me let u know dis asee,naizungumzia ZOOM PRODUCTION iliyochini ya MGOGO mmoja ambaye dizaini kama amewahi sana kuingia pande hizi za DAR before ile ICON ya DOM kutua kwa pande hizi nikiwa namzungumzia mkali ambaye promo yake ni zaidi wa prezidaa wa country by den hapa namzungumzia MATONYA sio yule umjuae wewewa muziki wa bongo flava bali hapa nimzungumzia yule BEGGER mashuhuri wa tz arifu.

Jamaa dizain kama amefanikiwa kuliteka soko la muziki wa gospel kiasi kwa mara ya kwanza toka ameaanza gem ya muziki wa injili ZOOM PRODUCTION ndiko alikofanikiwa kutengeneza ALBUM zima ya muziki wake.


kama ulidhani ni wasanii tu ndo huwa wanakuwepo maeneo haya unakosea ashee jamaa ambaye anakimbiza mbaya kwenye mavipindi ya malavidavi pale macapital radio kudadadeki jamaa nae mixer anagonga magospel kama kawa wakumuita MIHAMBO ASHEEE!!!!!!!
Dogo vipi pozi milioni ashee unasubiri kugongewa beat ama?

Jamaa anajulikana kama ENOCK NYONGOTO aka PRODUCER ECK ambaye kwa upande wangu namchukulia kama mrithi wa mkali wa kugonga kinanda tz enzi zile nikiwa namzungumzia SAID COMOREEN kama hutaki basi tafuta ALBM ya UTAMU WA YESU ya mwanamuziki ROSE MUHANDO utakubariana na mimi kuwa jamaa yuko vizuri sana,kwa upande wa wasanii wa gospel ambao wameshitukia deal ya kufanya kazi na mchizi huyu ambaye back in a days alikuwa ikipiga mzigo na mkali wa muziki wa zamani nikiwa namzungumzia SHIMANGA KALALA ASOSA kama mgonga vyombo kwani hakuna chombo ambacho jamaa huyu hakuwahi kukigonga wako kibao ambao unawajua kama vile BAHATI BUKUKU,BONNY MWAITEGE,JENIPHER MGENDI na wengine kibao usiowafahamu hata kwa upande wa muziki wa kidunia maarufu kama bongo flava jamaa pia ameweza kusanuka na wakali kama NAY WA MITEGEO SANA,HARD MARD,SAM WA UKWELI,MAUNDA ZORROH,HAKEEM 5 B.S,SWAGGA BOY,AINE NA WAKALI WENGINE.

Jamaa haishii hapo kwani amepata mashavu mengi sana nje ya mipaka ya TZ kama vile CONGO,RWANDA,MALAWI,BOTSWANA na kwengineko kwa ajili ya kugonga mikono mixer kuwa judge kwenye talents mbalimbali ambazo zinafanyika kwenye nchi husika.

Yap kama ulikuwa humfahamu sasa kaa ukijua kuwa huyu ndo Yule MGOGO aliyewahi kuingia town b4 MATONYA anaitwaga ENOCK NYONGOTO aka PRODUCER ECK.


(Nyuma ya mafanikio ya ZOOM PRODUCTION amesimama Mkurugenzi wa Zoom Polytechnic College akijulikana kama mkurugenzi SHIJA ambaye kama humfahamu unaweza ukadhani alifanya makosa sana kuingia kwenye kuwekeza kwenye muziki ila toka kutojua muziki ni nini mpaka kuwa mkosoaji mzuri wa muziki uwe ule utokao ZOOM ama studio nyingine mzee huyu ana malengo makubwa sana ya kuufanya muziki huu kufika levo za mbali sana asee big up SHIJA THE DON)


(Mkongwe wa muziki uwe wa dansi ama injili bado yeye ni mkongwe COSMASS CHIDUMULE ni moja kati ya wasanii amabo wamekwisha onja touchez za dis NU SHIT OF DA TOWN – ZOOM PRODUCTION hapa alikuja kukanyaga kwenye shavu na mkali ambaye aliamua kuasi uislam na kujikita katika kupiga mayowe kulisifu jina la KRISTO YESU – JOHN SHAABAN)





(Kama ulidhani jamaa anajua kugonga artificial pekee utakua umekosea,alipozaliwa tu alikutana na mbanjo wa uncle nae bila ajizi akaanza kulitwanga kisawasawa – pro ECK)


meneja wa rose muhando NATHAN kama kawa kutunza kumbukumbu ni muhimu sana maana kesho na keshokutwa hawachelewi kukugeuka kisha kwenye udaku unajikuta front page inakuwa sio ashee teh teh teh teh teh teh teh teh !!!!!!!

(Dadushka analisumbua sana soko la muziki wa injili kwa hapa TZEE hapa alikuwa akigonga Albam yake ya utamu wa Yesu ambapo anakiri kwa mara ya kwanza yeye kutengeza albam nzima ilikuwa ni kwa huyu jamaa anaeitwa PRODUCER ECK – ROSE MUHANDO)


kazi ilikuwa ngumu sana ashee ngoja nijipoze na kitu cha wali tuone kama nitaeza kurudi kungonga vocal ashee mweeeee kweli huu utamu wa yesu!!!!!!!
si ndo mizuka imepanda sasa mh?amsha mashetani ya kwetu dodoma wewe!!!!!!!!

(Askofu John Komanya mwenye kitu cha red t-shirt nae ni moja kati ya mastaa wa gospel ambao ama hakika wanasema mungu amewaletea mkombozi wa muziki wao na kamwe hawawezi kujuta kufanya kazi na mkali huyu amabaye anatokea kwenye asili ya muziki kule DOM kama hutaki kuamini haya fatilia then utagundua DOM imekwishatoaga wasanii wangapi mpaka sasa iwe gospel ama bongo flava ama dansi babake)


(Yawezekana ukadhani hawa jamaa toka singida hawanaga wajuacho kuhusu muziki,utakuwa umekosea sana,dizaini kama wamechaguana hivi ama sijui ni vile kwamba huezi fika singida pasina vuka DOM kwa gari ndinga?any way potezea jamaa mwenye kitu cha kodrai sahau mbali kuhusu mika mwamba,said comoreen hata mkali toka inafrika na soundcrafters kichwa hiki hapa cha kucheza na makeyboard asee ni nom asana hata kama yuko TILALILA basi jamaa anao umweza wa kukichezea kinanda atakavyo mzazi wakumuitga BENJA n most of da tym utamkuta na mkali wake toka DOM aka NYOGOTO)


(Utakuwa umefanya makosa sana kumchukulia jamaa kama sharobaro ama mtu mwenye majivuni kutokana na ubora wa kazi zake,jamaa anapopata mamida ya kuminya na machizi wake basi hasiti kufanya hivyo,mcheki hapa akiwa na watu wake ambao amekuwa nao kwa kitambo sana B.S the STAR mkono wake wa kulia,mchizi mwenye glass wakuitwa DAFFY pamoja na mdogo wake NYONGOTO ambaye kama ilivyo kwa b.s na daffy pia nae ni mmoja kati ya wasanii wazuri ambao wanafanya kazi na producer eck ila yeye akiwa chini ya man water wa combinenga wa kuitwa AINEA)


Usishangae sana mkali wako MWANAKIJIJI 4REAL as a BRAND JIWE4EVER as a PRODUCT kuuzaga kanyago kwenye hii clip ya huyu jamaa ambaye dizaini kashalizoea jiji baada ya kuasi toka DOM na kuhamishia makazi Dar CITY DANDADAAAA.KAMA VP I’M OUT PIPOOOOO

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA