Dec 18, 2011

UDSM - DIPLOMA CLASS 2011 KWENYE STUDY TOUR HUKO KUNDUCHI RUINS

jamaa ukimuangalia tu unamuuzia kesi bonge la tapeli wanamuita BOBAN kisa anaitwa HARUNA na ki ukweli amefanana sana na BOBAN halisi ila sio kitabia ashee
baada ya kuzunguka sana eneo la makumbusho ndani ya kunduchi ruins wanafunzi walipata muda wa kushangaa kidogo kunako pwani ashee
kubadilishana mawazo ni jambo jema wakati wowote pasina kujali wapi upo
sasa we jamaa mwenye white ndo ulikuwa unacheza kiduku kwa mgongo wa mwenzako ama ndo zile za utoto unamb..............dada mwenye kampesi bado anazo zile za kupiga picha huku anaimba wimbo wa taifa yaani mguu sawa ashee
wanafunzi wakijumuika kupiga picha ya pamoja baada ya kumaliza kuzunguka huku na huko
wasije wakawa wananisema kuwa nimewaelezea kikanyanga maana mijanafunzi ya siku hizi inajua kuliko waalimu wao ngoja nizuge najifuta jasho nijisogeze karibu yao nijue kwa nini wamejitenga na wenzao.
dogo kagoma kuelewa somo,kwani vipi alikuwa aikutokea ama?mbona sasa umekunja sura namna hiyo we mmasai wa town?
bonge mzito full kutake data ili asije akazingua kwenye paper ya mwisho ila we jamaa piga tizi mwanao atakuwa akijificha pao chini mvua ikiwa inanyesha asiloe teh teh teh teh teh teh kweli kitambi noma asee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
so tide baada ya kutoa lecturer kwa wanafunzi wangu nadhani watakuwa wamepata kitu maana mwenda bure sio sawa na mkaa bure ila wasiofika ole wao mi nataka report na report ina mark kwenye mtihani wao wa mwisho sijui wasiokuja wataniambia nini asee!!!!!!!
haya bwana sasa mmekwenda kujifunza ama mmekwenda kutanua nashindwa kuwaelewa ashee
machumu mdada wa ki.......akiwa na chalii wa R pamoja mtunza malikale za kunduchi mzee ambaye amekuwa kunduchi toka enzi hizo viwanja watu wanapewa bure mpaka leo bado yupo maeneo hizo sasa swali la msingi la kumuuliza ni ''elimu yake iko vipi?''kama ajaenda kwenye mbuyu kulalamika kudadadeki.
kijana angalia nimeweka pozi milioni nisipo pata picha yangu tutaonana wabaya shauri yako.
kama unataka kuogelea we nenda ila usinilaumu sikukwambia chalii teh teh teh teh bora simba ale mimi sio samaki jamani.

yawezekana ukawa hujawahi fika haya maeneo na kwa haraka waweza sema kuwa hapa tupo kaole bagamoyo,utakuwa umekosea sana bse hapa ni ndani ya jiji la dar maeneo ya kunduchi yalipo makaburi haya ya zamani yaliyotumika kuwazika waarab na waswahili enzi hizo ukiwa unatembea na dingi yako kwenye kaptula teh teh teh teh teh KUNDUCHI RUINS
sasa lecturer haya makaburi ama vijumba vya kufugia kuku mbona makaburi ya siku hizi hayako hivyo?
moja kati ya mibuyu ya zamani inayokadiriwa kuwa na miaka zaidi ya mia 300 ambayo zamani pipo waliitumia kama sehemu ya kwenda kueleza shida na matatizo mbali mbali na kutokana na imani yao kwa mtii huo matatizo yao yalikata kama mwanamke kukosa mtoto kwa muda mrefu so walipofikisha mashitaka yao kwa hakimu mbuyu pasina hiyana hakimu aliamuru mwanamke apewe mtoto faster,kweli zamani ilikuwa raha sana mi ningeenda kuomba mpunga aka pesa za kusaza ashee.
vivutio vingine ni boga kwa raiyaa wa kitzzz unabishaaaaaaaaaa?kitu cha kaa kudadadeki ukiwakuta wenyewe wa pwani utajuta kuwaona wanavyomkulaga ashee

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA