Dec 20, 2011

LULU MICHAEL AAMUA KUSANUA YA MOYONI ASHEE!!!!!

MIMI NI KATI YA WASANII WACHACHE SANA AMBAYE NIKITEMBEA NA MWANAUME ATAFEEL UTAMU, SIO KAMA WENGINE WAMEKUBUHU WAMEARIBIKA , HADI SASA WANAAMUA KUTOA PENZI KUNYUME NA MAUMBILE, ESPECIALLY MOVIE STAR TENA MAJINA YAO NAYAJUA SEMA TU NAWAHIFADHI SIKU WAKINITIBUA NAWATAJA, I AM ALMOST VIRGIN BY THE WAY, AM UNDER 19NALILIWA MIMISINA MPINZANISIO KICHECHENINA ELIMUMI MZURISTAR



kudadadeki mtoto still sild ashee pozi milioni utamtaka?
vipi tena mamitoo umeachika ama ndo dizaini mbwembwe ka dereva wa guta mixer kasimamia na kashati katupa begani mixer ashike break kwa mkono ili muradi mbwembwe teh teh teh teh
sema kama huwezi kuhonga nyumba na kila kilichomo mtoto ana kila kitu we unataka nini cha ziada?

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA