Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea 17-10-2010 na wanachama wa UWT jimbo la Nkasi Kusini na Nkasi Kaskazini Moani Rukwa katika mkutano wa ndani wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Oktoba 31 mwaka huu . (Picha na Mwanakombo Jumaa Maelezo)
Wanachama wa UWT Majimbo ya Mpanda Mjini na Vijijini Mkoa Mpya wa Katavi wakimshangilia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete 17-10-2010 katika mkutao wa ndani wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwaka huu .
Kikundi cha utamaduni cha kinamama wa Mkoani Rukwa wakimuonyesha umahiri wa kucheza ngoma ya asili katika mkoa huo.(17-10-2010)
No comments:
Post a Comment