Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mkuranga huko Kimanzichana leo mchana.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya CCM Adam Kighoma Malima wakati wa Mkutano wa kampeni uliofanyika huko Kimanzichana, wilayani Mkuranga leo mchana (picha na Freddy Maro
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM akiwa ambeba mtoto wa miaka miwili Asia Ndomondo muda mfupi baada ya kuwasili katika mji wa Kibiti na kuhutubia katika mkutano wa kampeni mjini hap leo
mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa eneo la Kimanzichana jimbo la Mkuranga wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika leo mchana.
No comments:
Post a Comment