Sep 15, 2010

SIMBA YAIBANJUA JKT RUVU 2-1, YANGA YABANWA MBAVU NA MTIBWA!!

Simba ya jijini Dar es salaamleo imefanikiwa kuifunga JKT Ruvu ya Pwani baada ya mshabuliaji wa timu hiyo Mussa Hassan Mgosi kuifungia timu hiyo katika kipindi cha kwanza cha mchezo goli moja na kuongeza msumari wa mwisho katika kipindi cha pili. Timu ya JKT Ruvu nayo imejitutumua baada ya kupata goli la kufutia machozi katika kipindi cha
pili cha mchezo huo na kufanya Simba kuibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja, kwa ushindi huo Simba sasa inafikisha Pointi 9 ikiongoza Ligi kuu ya Vodacom Huko Morogoro pia kulikuwa na mchezo kati ya Yanga ya jijini Dar es salaam na timu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro ambapo msemaji wa klabu hiyo amesema timu Yanga imetoka sare ya magoli 1-1 dhidi ya timu ya Mtibwa Sugar goli la Yanga likifungwa na mchezaji Abdi Kassim

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA