Mgombea urais kwa tiketi ya CCM,Dr. Jakaya Kikwete akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho huko Himo,Moshi jana.
Wananchi wa Kilema wakimlaki Mgombe urais wa CCM,Dr. Jakaya Kikwete alipokuwa anawasili kijijini hapo.
Dr. Kikwete akimwaga sera huku maelfu ya wanaCCM wakimsikiliza.
Maelefu ya wakaazi wa Moshi waliojitokeza kumsikiliza Mgombea urais wa CCM,Dr. Jakaya Kikwete uwanja wa Mashujaa
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi wakati alipokuwa akiingia katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuhutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni (Picha Freddy Maro na Muhidin Issa Michuzi).
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dr. Jakaya Kikwete na Mgombea ubunge wa jimbo la Rombo Mh. Basil Mramba wakionesha alama ya dola ambayo CCM inatumia
akimnadi mgombea ubunge Vunjo Bw. Meela aliposimama Marangu Mtoni
No comments:
Post a Comment