Sep 18, 2010

Rais Kikwete katika kampeni Mbulu na Babati!!

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakati wa mkutano mkubwa wa Kampeni uliofanyika mjini Babati jana jioni(Picha na Freddy Maro)
mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa Haydom, mkoani Manyara muda mara alipowasili katika mkutano wa Kampeni jana mchana,
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwanafunzi Nicholaus Haba wa shule ya sekondari Dongobesh muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia wananchi wa Kata ya Dongobesh wilayani Mbulu jana asubuhi.

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA