Sep 16, 2010

ngoma mupya toka hot pot family


Mambo vipi waungwana?Nachukua fursa hii kushukuru kwa support mnayonipa mimi na ndugu zangu wote wa Hotpot family.Nadhani mlikuwa hamjui kuwa Hotpot Family ni kundi ambalo linajumuisha wasanii wa kila fani lakini kwenye muziki tunaofanya tuko kumi akiwemo Suma-G,Dulayo,Chriss,Baby,Nico,Chorus,Chid Blast,Dogo Mfaume,Salim na mimi.
Tumeamua kufanya project ya kundi zima kwa mara ya kwanza na wimbo huu tumerekodi chini ya producer Muba na tumeona tuwaachie madogo waonyeshe uwezo wao ila mimi na Suma tumeimba chorus tu...
Wimbo unaitwa UNA MIPANGO?Tukiimanisha una deal?Au una pesa?

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA