Matukio ya picha mbalimbali za Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete katika mkoa wa Mwanza ambapo anawatembelea wanachama wa UWT na kuzungumza nao akiwahamasisha kuhusu umuhimu wa Kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ifikapo Oktoba 31,mwaka huu nchini kote. Picha zote na Mwanakombo Jumaa.
Picha hii inaonyesha Mama Salma Kikwete akisalimiwa na mwanachama wa UWT baada ya kufika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza |
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akimtambulisha mgombea Ubunge wa jimbo la Nyamagana (CCM) Lawrence Masha mjini Mwanza.
Wanachama wa UWT wa Wilaya ya Nyamagana na Ilemela mkoani Mwanza wakimshangilia Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mjini Mwanza. |
No comments:
Post a Comment