Lady Jay Dee a.k.a Binti Komando akiwajibika leo katika kiwanja chake cha kila alhamisi cha Savannah Lounge kilichopo ndani ya jengo la Benjamin Mkapa Tower.
timu nzima ya Machozi Band ikiongozwa na mwanadada Lady Jay Dee ikitoa burudani la kufa mtu usiku huu katika kiota cha Savannah lounge ndani ya Benjamin Mkapa Tower.
Sam,Mau na Joniko wakienda sambamba katika kuimba usiku huu.
mie na mdau Husna ndani ya Savannah Lounge usiku huu.
Detah na Don wakiwakilisha ndani ya Savannah Lounge usiku huu.
Detah (kulia) akigawa zawadi kwa mdau aliekuwa anapata kilaji cha Savannah usiku huu.
Detah (kulia) akiendelea na zoezi la kutoa zawadi kwa wadau waliokuwa wakijipatia kilaji cha Savanna kilichokuwa kikinyweka kwa kasi ya ajabu usiku huu.
Wadau wa Savannah Lounge wakiwa katika libeneke lao usiku huu.
wadau wakiserebuka na mapini ya Machozi Band yaliyokuwa yakiangushwa usiku huu ndani ya Savannah Lounge
No comments:
Post a Comment