Mchezaji wa pool kutoka timu ya mkoa wa Ilala, Evansi Mushi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mashindano ya taifa ya mchezo huo yaliyoanza kutimua vumbi huko jijini Arusha.mashindano haya yanaendelea kwa udhamini mkubwa wa bia ya Safari Lager.
baadhi ya wachezaji wa mchezo wa pool toka katika timu za mikoa mbali mbali zinazoshiriki katika mashindano hayo,wakiendelea kufuatilia mechi zilizokuwa zikiendelea wakati huo.
No comments:
Post a Comment