Yawezekana ukawa hujawahi sikia juu ya hii swagga mupya inayosumbua sana kwenye medani ya muziki kwa hapa TZ let me let u know dis asee,naizungumzia ZOOM PRODUCTION iliyochini ya MGOGO mmoja ambaye dizaini kama amewahi sana kuingia pande hizi za DAR before ile ICON ya DOM kutua kwa pande hizi nikiwa namzungumzia mkali ambaye promo yake ni zaidi wa prezidaa wa country by den hapa namzungumzia MATONYA sio yule umjuae wewewa muziki wa bongo flava bali hapa nimzungumzia yule BEGGER mashuhuri wa tz arifu.
Jamaa dizain kama amefanikiwa kuliteka soko la muziki wa gospel kiasi kwa mara ya kwanza toka ameaanza gem ya muziki wa injili ZOOM PRODUCTION ndiko alikofanikiwa kutengeneza ALBUM zima ya muziki wake.
kama ulidhani ni wasanii tu ndo huwa wanakuwepo maeneo haya unakosea ashee jamaa ambaye anakimbiza mbaya kwenye mavipindi ya malavidavi pale macapital radio kudadadeki jamaa nae mixer anagonga magospel kama kawa wakumuita MIHAMBO ASHEEE!!!!!!!
Dogo vipi pozi milioni ashee unasubiri kugongewa beat ama?
Jamaa anajulikana kama ENOCK NYONGOTO aka PRODUCER ECK ambaye kwa upande wangu namchukulia kama mrithi wa mkali wa kugonga kinanda tz enzi zile nikiwa namzungumzia SAID COMOREEN kama hutaki basi tafuta ALBM ya UTAMU WA YESU ya mwanamuziki ROSE MUHANDO utakubariana na mimi kuwa jamaa yuko vizuri sana,kwa upande wa wasanii wa gospel ambao wameshitukia deal ya kufanya kazi na mchizi huyu ambaye back in a days alikuwa ikipiga mzigo na mkali wa muziki wa zamani nikiwa namzungumzia SHIMANGA KALALA ASOSA kama mgonga vyombo kwani hakuna chombo ambacho jamaa huyu hakuwahi kukigonga wako kibao ambao unawajua kama vile BAHATI BUKUKU,BONNY MWAITEGE,JENIPHER MGENDI na wengine kibao usiowafahamu hata kwa upande wa muziki wa kidunia maarufu kama bongo flava jamaa pia ameweza kusanuka na wakali kama NAY WA MITEGEO SANA,HARD MARD,SAM WA UKWELI,MAUNDA ZORROH,HAKEEM 5 B.S,SWAGGA BOY,AINE NA WAKALI WENGINE.
Jamaa haishii hapo kwani amepata mashavu mengi sana nje ya mipaka ya TZ kama vile CONGO,RWANDA,MALAWI,BOTSWANA na kwengineko kwa ajili ya kugonga mikono mixer kuwa judge kwenye talents mbalimbali ambazo zinafanyika kwenye nchi husika.
Yap kama ulikuwa humfahamu sasa kaa ukijua kuwa huyu ndo Yule MGOGO aliyewahi kuingia town b4 MATONYA anaitwaga ENOCK NYONGOTO aka PRODUCER ECK.
(Nyuma ya mafanikio ya ZOOM PRODUCTION amesimama Mkurugenzi wa Zoom Polytechnic College akijulikana kama mkurugenzi SHIJA ambaye kama humfahamu unaweza ukadhani alifanya makosa sana kuingia kwenye kuwekeza kwenye muziki ila toka kutojua muziki ni nini mpaka kuwa mkosoaji mzuri wa muziki uwe ule utokao ZOOM ama studio nyingine mzee huyu ana malengo makubwa sana ya kuufanya muziki huu kufika levo za mbali sana asee big up SHIJA THE DON)
(Mkongwe wa muziki uwe wa dansi ama injili bado yeye ni mkongwe COSMASS CHIDUMULE ni moja kati ya wasanii amabo wamekwisha onja touchez za dis NU SHIT OF DA TOWN – ZOOM PRODUCTION hapa alikuja kukanyaga kwenye shavu na mkali ambaye aliamua kuasi uislam na kujikita katika kupiga mayowe kulisifu jina la KRISTO YESU – JOHN SHAABAN)
(Kama ulidhani jamaa anajua kugonga artificial pekee utakua umekosea,alipozaliwa tu alikutana na mbanjo wa uncle nae bila ajizi akaanza kulitwanga kisawasawa – pro ECK)
meneja wa rose muhando NATHAN kama kawa kutunza kumbukumbu ni muhimu sana maana kesho na keshokutwa hawachelewi kukugeuka kisha kwenye udaku unajikuta front page inakuwa sio ashee teh teh teh teh teh teh teh teh !!!!!!!
(Dadushka analisumbua sana soko la muziki wa injili kwa hapa TZEE hapa alikuwa akigonga Albam yake ya utamu wa Yesu ambapo anakiri kwa mara ya kwanza yeye kutengeza albam nzima ilikuwa ni kwa huyu jamaa anaeitwa PRODUCER ECK – ROSE MUHANDO)
kazi ilikuwa ngumu sana ashee ngoja nijipoze na kitu cha wali tuone kama nitaeza kurudi kungonga vocal ashee mweeeee kweli huu utamu wa yesu!!!!!!!
si ndo mizuka imepanda sasa mh?amsha mashetani ya kwetu dodoma wewe!!!!!!!!
(Askofu John Komanya mwenye kitu cha red t-shirt nae ni moja kati ya mastaa wa gospel ambao ama hakika wanasema mungu amewaletea mkombozi wa muziki wao na kamwe hawawezi kujuta kufanya kazi na mkali huyu amabaye anatokea kwenye asili ya muziki kule DOM kama hutaki kuamini haya fatilia then utagundua DOM imekwishatoaga wasanii wangapi mpaka sasa iwe gospel ama bongo flava ama dansi babake)
(Yawezekana ukadhani hawa jamaa toka singida hawanaga wajuacho kuhusu muziki,utakuwa umekosea sana,dizaini kama wamechaguana hivi ama sijui ni vile kwamba huezi fika singida pasina vuka DOM kwa gari ndinga?any way potezea jamaa mwenye kitu cha kodrai sahau mbali kuhusu mika mwamba,said comoreen hata mkali toka inafrika na soundcrafters kichwa hiki hapa cha kucheza na makeyboard asee ni nom asana hata kama yuko TILALILA basi jamaa anao umweza wa kukichezea kinanda atakavyo mzazi wakumuitga BENJA n most of da tym utamkuta na mkali wake toka DOM aka NYOGOTO)
(Utakuwa umefanya makosa sana kumchukulia jamaa kama sharobaro ama mtu mwenye majivuni kutokana na ubora wa kazi zake,jamaa anapopata mamida ya kuminya na machizi wake basi hasiti kufanya hivyo,mcheki hapa akiwa na watu wake ambao amekuwa nao kwa kitambo sana B.S the STAR mkono wake wa kulia,mchizi mwenye glass wakuitwa DAFFY pamoja na mdogo wake NYONGOTO ambaye kama ilivyo kwa b.s na daffy pia nae ni mmoja kati ya wasanii wazuri ambao wanafanya kazi na producer eck ila yeye akiwa chini ya man water wa combinenga wa kuitwa AINEA)
Usishangae sana mkali wako MWANAKIJIJI 4REAL as a BRAND JIWE4EVER as a PRODUCT kuuzaga kanyago kwenye hii clip ya huyu jamaa ambaye dizaini kashalizoea jiji baada ya kuasi toka DOM na kuhamishia makazi Dar CITY DANDADAAAA.KAMA VP I’M OUT PIPOOOOO