
ainea na frank mavula co host wakipindi cha maisha ni safari cha radio mlimani baada ya kipindi walifanya kuchukua ukumbusho ashee

wa kwanza ni frank kijana wa mzee mavula akiwa na ainea mkali mwengine anaeiwakilisha dodoma poa sana na ngoma yake MOYO UTANIUMA iliyofanywa na producer man water,kushoto mwa ainea ni producer wa kipindi cha maisha ni safari wakuitwa renafrida rwezaura ndani ya studio za radio mlimani baada ya kipindi.

full kubambia ashee

pozi milioni ashee

sijui niende kiwanja gani leo

sikioni full vipuli

shingoni kama kawa anamkumbuka bwanaake yesu

shost nini kimekufurahisha?

mtoto wa kike kidole kama tiara!!!!!!

eti nae anampenda yesu teh teh teh

nasikiliza maswali yenu bandugu

ahaaaaaaaa sinajibu

una chochote cha kuongezea?

tunakushukuru sana kwakuja
nawashukuru sana kwa kunialika
No comments:
Post a Comment