Timu ya taifa ya soka ya Tanzania - Taifa Stars usiku wa kuamkia leo imesafiri kuelekea jijini Gbarone Botswana kwa ajili ya kucheza mchezo wa kujipima nguvu na timu ya nchi hiyo. |
Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja akiingia uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kuelekea Botswana |
Watoto wa Msimbazi hao, Haruna Moshi Boban na Ramadhan Chombo wakiwa na mabegi tayari kuiacha ardhi ya Tanzania na kwenda Botswana kutetea bendera ya nchi yao. |
Mrisho Khalfan Ngassa nae akielekea ndani ya uwanja tayari kwenda kupanda pipa na kwenda Gabarone |
Aggrey Morris wa Azam FC NDANI YA UZI WA TAIFA LAKE TAYARI KUKWEA PIPA |
No comments:
Post a Comment