Sep 17, 2010

Ridhiwani Kikwete atinga na kameni Liwale, Nachingwea!

Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji Halmashauri ya baraza la umoja wa vijana wa CCM Ridhiwani Kikwete aliyevaa skafu) akikagua gwaride la viaja wa CCM, baada ya
kulakiwa eneo la eneo la Ngunichile akitokea kufanya kampeni za ndani Liwale kwenda
Nachingwea mkoani Lindi juzi, ambapo katika mkoa huo amefanya mikutano ya kuweka mikakati ya
ushindi wa chama hicho. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Kikundi cha Kwaya cha vijana wa CCM kikitumbuiza wakati wa kampeni za ndani za chama hicho uliohutubiwa na Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, mjini Liwale juzi
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wafuasi Wanachama na wafuasi wa chama hicho, wakati
wa mapokezi eneo la Ngunichile akitokea kufanya kampeni za ndani Liwale kwenda Nachingwea
mkoani Lindi jUZI, ambapo katika mkoa huo amefanya mikutano ya kuweka mikakati ya ushindi wa
chama hicho.

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA