Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akihutubia wakati wa mapokezi alipokuwa akiingia wilayani Masasi, Mtwara juzi..(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akiwaongoza baadhi ya makada wa CCM, kusalimiana na wanachama wa chama hicho, walipowasili katika ofisi za CCM, wilayani Nanyumbu,juzi kuanza vikao vya ndani vya kuweka mikakati ya ushindi kwa CCM katika Uchauzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu.Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya tawi la CCM, London, Uingereza, Haruna Mbeyu na Omar Matulnga ambaye ni miononi mwa wadau wa chama hicho.
Sehemu ya umati wa watu ulojitokeza kumlaki,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, alipowasili Masasi, Mtwara juzi , kuanza ziara kuhamasisha vijana kupanga mikakati ya ushindi wa kishindo kwa CCM..(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
No comments:
Post a Comment