Sep 15, 2010

Rais Kikwete katika kampeni Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro!!

Chipukizi wa CCM akimkaribisha maua mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili huko Ndungu,wilayani Same jana mchana na kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni. (Picha na Freddy Maro)
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM wakati wa mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa michezo mjini Mwanga,Mkoani Kilimanjaro jana jioni(picha na Freddy Maro)
Baadhi ya wananchi wa Ndungu Same wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete waakti alipohutubia mkutano wa Kampeni.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wakazi wa mji wa Same, Mkoani Kilimanjaro jana jioni.

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akivishwa skafu na chipukizi Asha Khalifa alipowasili Kata ya Tingi, Jimbo la Uchaguzi la Kilwa Kusini,wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi kuanza ziara ya kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM, Kata ya Njinjo, Hemed Kipembekile alipowasili Kata ya Tingi, Jimbo la Uchaguzi la Kilwa Kusini,wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi kuanza ziara ya kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapiduzi Tanzania Bara na Visiwani, Profesa wa Siasa Mtopa Ali Mtopa akitoa nasaha zake katika mkutano wa ndani wa viongozi wa UVCCM, Wilaya Kilwa, uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UVCCM Taifa, Ridhiwani Kikwete (katikati), mjini Kilwa Masoko,juzi. Ridhiwani na makada wengine wa UVCCM wameanza ziara ya kuhamasisisha vijana kuhakikisha chama hicho kinapata ushindi mkubwa katika uchaguzi Mkubwa. Kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM,Mkoa wa Lindi Hassan Masala.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Vijana Taifa, Ridhiwani Kikwete, akihutubia katika mkutano Kata ya Tingi, Jimbo la Uchaguzi la Kilwa Kusini,wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi kuanza ziara ya kuweka mikakati ya ushindi wa kimbunga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA