Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange na viongozi wengine wa jeshi wakitoa heshima zao jana wakati wa maadhimisho ya siku ya kuwakumbuka mashujaa waliopigana vita kuu ya Dunia 1939-1943.maadhimisho hayo yamefanyika leo asubuhi katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. (Picha zote ni za Aron Msigwa na Mwanakombo Jumaa) - MAELEZO.
Kanali mstaafu wa JWTZ mzee Shadrack Malinzi (87) akiongea na waandishi wa habari baada ya maadhimisho katika viwanja vya mnazi.
No comments:
Post a Comment