Ni globu ya kijamii inayojihusisha na mambo yote ya kijamii,natumaini jamii yangu ya kitanzania itafaidika sana pindi ichukuapo fursa ya kuperuzi kwenye globu hii,dhamira yangu ni kufikisha ujumbe pamoja na kuiburudisha jamii yangu na furaha yangu ni kuona natimiza dhamira yangu kwako.natumaini kuwa wewe utaniunga mkono kwa kile ambacho nataka kukifanya kwa ajili ya jamii yangu ya kitanzania.NASHUKURU KWA KUNIELEWA.
Aug 8, 2010
SIMBA NA EXPRESS YA UGANDA ZANOGESHA TAMASHA LA SIMBA DAY UHURU!!MAPEMA JANA
VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADAWATI 140 SHULE YA SEKONDARI TEMEKE!!
REDDS YAWAPONGEZA WAREMBO WATAKAOINGIA KAMBI YA VODACOM MISS TANZANIA 2010!!
Hafla hiyo ya kuwapongeza warembo hao iliandaliwa na kampuni ya bia ya Tanzania TBL kupitia kinywaji chake cha Redds ambao ni wadhamini wakuu wa kanda tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni, hafla hiyo imefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam ikikutanisha wadau mbalimbali wa urembo nchini.
Afisa uhusiano wa Kamati ya Miss Tanzania Aidan Rico amesema kwa njia ya simu kwamba kamati hiyo inatarajia kutangaza mbele ya wanahabari kuhusu kuanza kwam kambi hiyo siku ya jumanne ambapo kila kitu kitawekwa waazi kuhusu maandalizi ya Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.
YALIYOJITOKEZA KWENYE KUJIPANGUSA.

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA FIESTA - RAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH PALE LIDAZ
Wanamuziki hao wakiwa jukwaani wamefanya onesho la kukata na shoka huku wakionyesha ushirikiano mkubwa katika uchezaji kitu kilichopelekea mashabiki kuwashangilia kwa nguvu kana kwamba wanamuziki hao wamezoeana kwa muda mrefu.
Awali mwanamuziki Lil Kim alipokuwa mazoezini katika viwanja hivyo mishale ya saa kumi na mbili alisikika akiulizia mwanamuziki wa numbani ambaye anafanya vizuri kimuziki wakati akiongea na mtangazaji wa Radio Clouds anayeitwa Ruebeny, ili kujibu swali hilo mtangazaji huyo alimwambia kuna mwanamuziki anaitwa Juma Nature ana nyimbo nyingi nzuri lakini ana wimbo wake unaitwa Mugambo wimbo huu ni maarufu na unapendwa sana hapa nyumbani.
Kwa maelezo hayo Lil Kim alikubali kuimba nyimbo hiyo na mwanamuziki Juma Nature kitu ambacho kimethibitisha uwezo wa mwanamuziki Juma Nature katika muziki wa kizazi kipya Bongofleva, Hongera Juma Nature umewakilisha Vyema Tanzania.
Aug 7, 2010
MWANAMUZIKI LIL KIM ATEMBELEA LEADERS NA KUJIONEA JUKWAA KABLA YA KUKATA KIU YA WABONGO!!
Blacket Watua Bongo Usiku huu
Subscribe to:
Posts (Atom)
ME MYSELF & I
THE DON HIMSELF
Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)