Ni globu ya kijamii inayojihusisha na mambo yote ya kijamii,natumaini jamii yangu ya kitanzania itafaidika sana pindi ichukuapo fursa ya kuperuzi kwenye globu hii,dhamira yangu ni kufikisha ujumbe pamoja na kuiburudisha jamii yangu na furaha yangu ni kuona natimiza dhamira yangu kwako.natumaini kuwa wewe utaniunga mkono kwa kile ambacho nataka kukifanya kwa ajili ya jamii yangu ya kitanzania.NASHUKURU KWA KUNIELEWA.
Aug 7, 2010
Blacket Watua Bongo Usiku huu
TBL yazindua mradi wa maji dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. William Lukuvi akiwahutubia wakazi wa Mchikichini waliofika katika uzinduzi wa mradi wa maji safi na salama ujulikanao kama "HAKUNA MAJI,HAKUNA UHAI" ulioanzishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL),Mchikichini Ilala leo.kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mh. Leonidas Gama na kulia ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa TBL,Bw. Phocus Lasway ambaye alimuwakilisha mkurugenzi mkuu wa TBL.
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa TBL,Bw. Phocus Lasway akiongea na wakazi wa Mchikichini leo baada ya uzinduzi wa mradi wa maji uliozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi, Mh. William Lukuvi akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo wa maji.
Mh. William Lukuvi akimtisha ndoo ya maji mkazi wa Mchikichini,bi. Mwanaisha Ramadhan mara baada ya uzinduzi huo.
Mh. Lukuvi akikinga maji.
wakazi wa Mchikichini pamoja na wanahabari wakimsikiliza mgeni rasmi,Mh. William Lukuvi leo.Meneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi akimkabidhi zawadi Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mh. Leonidas Gama.

*************************************
Tanzania Breweries Ltd today launched a project to provide safe drinking water to the Mchikichini community of Dar es Salaam. This is a part of TBL’s NO WATER THERE IS NO LIFE “Hakuna Maji Hakuna Uhai” project in which TBL will invest 1.3 Billion Tanzania Shillings over a three-year period.
The whole amount of money will be used for rehabilitation and restore hand pumps which are not working due to defects.
Building and training people how to construct Rain Water Harvesting in public places eg schools, hospitals and also drilling of water boreholes. Moreover, to support the government through “National Rural Water Sector Strategic Plan” which is aiming at improving access to clean and safe water in rural areas.
As the project is still under preparation the criteria for small project funding in Tanzania will be communicated to the community.
Access to clean and safe water is a major problem in Tanzania. Many areas in the country have no access to sufficient water for either domestic or agricultural use. The Mchikichini area of Dar es Salaam is no exception.
Announcing the project in Dar es Salaam today, TBL’s Managing Director Robin Goetzsche said that he hoped this initiative by the company would alleviate many of the hardships being experienced by the Mchikichini community.
“Many people take water for granted and it is only when clean water is not available that they realize just how important a reliable supply of water is,” he said. “A lack of access to safe drinking water is a threat to public health and poverty reduction for many people. Through this investment we hope not only to supply clean and safe water but also to educate the community in sensible water management.”
The project is centered on the provision of safe drinking water from taps that will operate a specified times during the day. Mr. Goetzsche requested the local authority in the Mchikichini ward to establish a water committee in the area so as to have a system in place to manage the water project and the supply of water.
The Dar es Salaam Regional Commissioner, Honourable William Lukuvi said,” The government appreciates the efforts of private organizations joining hands with government to improve the lives of the people of Tanzania and thereby providing a means to eradicate poverty in the country.
TBL management should know that, this project will not only serve the people of Mchikichini but also the two schools in the area.” The people from the Karume market will also benefit, he said.

MCHUNGAJI WA KKKT JELA MIAKA 30 NA VIBOKO 12, NI BAADA YA KUBAKA!!
Na Hillary Shoo,Iramba.
MAHAKAMA ya wilaya ya Iramba mkoani Singida imemhukumu mchungaji mmoja wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) dayosisi ya Kati adhabu ya kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa vikopo 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 19 (jina tunalihifadhi).
Mchungaji aliyekumbwa na adhabu hiyo ya kifungo gerezani ametajwa kuwa ni Japhet Nakomolwa Kidindima (37) wa KKKT-Usharika wa Igengu wilayani Iramba. Mapema mwendesha mashitaka mrakibu msaidizi wa polisi (ASP) Adamu Chasama alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Novemba 16, mwaka jana majira ya saa 2 usiku kwenye korongo moja.
Mbele ya hakimu mkuu mfawidhi wa mahakama hiyo, Mrisho Kariho ilidaiwa kuwa siku moja kabla ya tukio hilo la ubakaji, mchungaji huyo alikwenda nyumbani kwa mwanamke mmoja wa waumini wake na kumwomba amtafutie wasichana wawili kwa ajili ya kuwapeleka kwa kaka yake jijini Dar-es-Salaamu siku inayofuata kufanyakazi za ndani.
Aidha ilielezwa kuwa baada ya kupata wasichana hao muumini huyo aliwapeleka wote kwa mchungaji majira ya jioni lakini akachagua mmoja mwenye miaka 19 na kumwacha wa 18 kwa madai kuwa kaka yake amempigia tena simu akitaka mmoja tu.
Ilidaiwa kuwa baada ya muumini huyo na binti aliyeachwa kuondoka kurejea nyumbani, mchungaji huyo alimpakia kwenye baiskeli msichana aliyemchagua na kuanza safari ya kwenda kijiji jirani cha Ibaga kwa ajili ya kupanda basi kwenda Dar-esalamu kesho yake.
Hata hivyo ilielezwa kuwa walipofika njiani kwenye korongo moja mchungaji huyo alianza kumtomasa-tosa msichana huyo kisha kumbaka kabla ya kwenda kumtelekeza ndani ya basi. Ilielezwa kuwa msichana huyo alilala ndani ya basi kabla ya kuchukuliwa na wasamaria wema kesho yake baada ya kuteremshwa kutokana na kukosa nauli, hali iliyosabisha kupelekwa kituo cha polisi na baadaye hospitalini kwa uchuguzi kisha mchungaji kukamatwa.
Akisoma hukumu hakimu Kariho alisema kutokana na ushahidi wa mazingira kuthibitisha kosa pasipo kuacha shaka lolote mchungaji huyo atatumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 12 ili iwe fundisho kwa wengine wenye nia ya kutenda kosa kama hilo.
"Wewe nilitegemea kwa kuwa ni mchungaji unayefundisha watu maadili mema sitegemei kama unaweza kufanya kitendo cha aibu namna hii hivyo, hivyo sina sababu ni kwa nini usitumikie kifungo hicho, utachapwa viboko 6 wakati ukiingia gerezani na vingine 6 wakati ukitoka,." alisema hakimu huyo huku akimkazia macho mchungaji huyo.
MWANAMUZIKI JEFF DOGOLABANGO (ALANDJI) AONGOZA USAFI MWANANYAMALA HOSPITALI!!
Mwanamuziki kutoka Ivory Coast Jeff Dogolobango anayetamba na wimbo wake mpya wa (Alandji)kushoto pamoja na Meneja Mkuu Uhusiano na Mawasiliano wa Serengeti Breweriers Ltd Teddy Mapunda wakishiriki kwenye kampeni ya kufanya usafi katika Hospitali ya Mwananyamala na Kituo cha polisi cha Oysterbay leo ikiwa ni pamoja na kupiga vita ugonjwa wa Maralia kupitia kampeni ya Zinduka.
Kampeni hiyo imeshirikisha wasanii wanaoshiriki kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 "Rrrrrah", wafanyakazi wa Serengeti Breweriers pamoja na wafanyakazi wa Clouds Fm, ambapo wote kwa pamoja, wasanii walioshiriki katika zoezi hilo wanatarajiwa kupanda katika jukwaa la Fiseta Kesho kwenye Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam
Pia wanashiriki wanamuziki wakubwa kama vile Lil Kim kutoka nchini Marekani na J. Martin kutoka Nigeria watakaowasili wakati wowote kuanzia sasa ili kuja kuwarusha mashabiki wa tamashi hilo hapo kesho.
Mkuu wa kituo cha polisi cha Oysterbay Kamanda G.C.Mapunda akipaka rangi katika kuta za jengo la kituo hicho wakati wa kampeni ya kufanya usafi kituoni hapo iliyofanywa na wasanii mablimbali wanaoshiriki katika tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es salaam.
Teddy Mapunda na Mwanamuziki Keisha wakifanya usafi kwa kupiga deki katika lango kuu la kuingilia kwenye kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es salaam leo.
Mmoja wa wakurugenzi wa Redio Clouds Ruge Mutahaba akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Kamanda E.J. Kalinga kushoto wakati wasanii mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Serengeti Breweriers na Clouds FM walipoenda kituoni hapo kufanya usafi ikiwa ni pamoja na kupaka rangi kwenye majengo ya kituo hicho, wa pili kutoka kulia ni Meneja Mkuu Uhusiano na Mawasiliano SBL Teddy Mapunda na katikati ni Mkuu wa Kituo cha Polisi Oysterbay kamanda G.C.Mapunda.
Wafanyakazi wa Serengeti Breweriers wakifanya usafi katika wodi hospitalini hapo.
Meneja Mkuu wa Uhusiano na Mwasiliano SBL Teddy Mapunda akizungumza na wanahabari wakati wa kampeni ya kufanya usafi kwenye hospitali ya Mwananyamalea leo katikati ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dr. Zuhura Majapa na kushoto ni Ruge Muhataba wa Clouds Fm Redio.
Kweli sio kwamba unaweza kufanya kila kitu Mtangazaji wa Redio Clouds kipindi cha Powerbreakfast Gerald Hando kushoto alishindwa kuunganisha kofia aliyopewa kwa ajili ya kutumia kwa tahadhari wakati akifanya usafi katikati ni B 12 mtangazi Clouds na kuliani Jo Makini Mwamba wa Kaskazini.
MWANAMUZIKI LADY JAY DEE AFUNIKA MZALENDO PUB NA KUDHIHIRISHA UKOMANDOO WAKE KATIKA GEMU LA MUZIKI!!
Mwanamuziki Lady Jay Dee akiwalisha keki mashabiki wake wakati wa onesho lake la kutimiza miaka kumi katika gemu ya muziki kwa mafanikio makubwa, onesho limefanyika usiku wa kuamkia leo pale Mzalendo Pub na kukusanya mashabiki lukuki huku kukiwa na misururu mikubwa ya kununua tiketi, hata hivyo baadhi ya mashabiki walishindwa kuingia kutokana na uingi wa watu waliohudhuria onesho hilo.
Jay Dee alimshukuru Mungu, Wazazi wake Mumewe na Mashabiki wake ambao ndiyo hasa kwa kiasi kikubwa wamechangia yeye kufikia hapo alipofikia katika mafanikio yake kimuziki, katika onesho hilo aliwashirikisha wanamuziki Chegge wa TMK Family na TID wa Top Band ambao ameimba nao baadhi ya nyimbo zake alizozipiga katika onesho hilo, Hongera sana Lady Jay Dee umefunika ile mbaya.
Lady Jay Dee akipagawisha mashabiki wake kwenye onesho la kutimiza miaka kumi katika muziki onesho lililofurika mashabiki kama unavyoona mdau.
Top In Dar (TID) akifanya vitu vyake kwenye wimbo walioshirikiana na mwanamuziki Lady Jay Dee usiku wa kuamkia leo lilikuwa ni onesho la kufurahisha na lililofurika mashabiki kiasi kwamba hata wengine walishindwa kuingia kutokana na msongamano.
Mwanamuziki Chegge wa kundi la TMK Family kutoka Kimumeni Temeke akimpa shavu Lady Jay dee katika onyesho lake la kutimiza miaka kumia katika muziki usiku wa kuamkia leo kulia ni mwanamuziki Hessein Machozi.
Lady Jay Dee na kundi lake la Machozi Band wakifanya mambo makubwa jukwaani.
Mdau Jofrey Mwakibete wa Mo Blog mwenye fulana nyeusi naye akajichanganya pamoja na mashabiki katika kupata shangwe za mwanamuziki Jay Dee.
Melisa akipata hisia kali wakati mwanamuziki Lady Jay Dee alipokuwa akifanya mambo makubwa jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye onesho lake la kutimiza miaka kumi katika muziki lililofanyika kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub jijini Dar es salaam nyuma ni lafiki yake Dark.
Kulia ni Eve Temu na Jaquiline Temu pamoja na marafiki zao walikuwepo Mzalendo Pub ili kushuhudia onesho kali na la kukata na shoka la Mwanadada Lady Jay Dee katika kutimiza miaka kumi kwenye fani ya muziki.
Mdau Jafari kushoto akishoo love na marafiki zake.
Watangazaji wa kipindi cha Powerbreakfasti kutoka redio Clouds Paul James mwenye kofia na Barbara Hassan wakiwa na marafiki zao kulia ni mdau Nick Magarinza aka "Nick Butt" nao walijimwaga mzalendo Pub usiku wa kuamkia leo.
Mdau Rangia kulia akiwa amepozi wakati onesho la Lady Jay Dee lililpokuwa likidendelea kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub Jijini Dar usiku wa kuamkia leo, katikati ni Mama Hasheem Thabeet na kushoto ni mdau Dulla Makubelly wakifuatilia kwa karibu onesho hilo.
Aug 5, 2010
Kura ya maoni Kenya yafanyika kwa amani
Shughuli ya kupiga kura ya maoni kupinga au kuunga mkono katiba mpya inayopendekezwa nchini Kenya imemalizika.
Shughuli hiyo imefanyika kwa njia ya amani, na watu walijitokeza kwa wingi kushiriki. Kulikuwa na milolongo mirefu ya watu katika vituo vya kupiga kura, na vituo vingi viliendesha shughuli zake bila matatizo.
Vituo vya kupigia kura vilifungwa saa 11 kamili, na kuruhusu tu wananchi waliokuwa wamefika vituoni wakati huo kupiga kura. Katika baadhi ya vituo kura zimeanza kuhesabiwa. Katiba hiyo mpya inayopendekezwa, inatazamiwa kubadilisha mwelekeo wa siasa za Kenya, na kuwaepusha raia wa nchi hiyo kujipata katika ghasia kama zile zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka 2007.
Zaidi ya watu 1,000 walikufa kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyokumbwa na utata. Wanaounga mkono katiba hiyo wanasema itayapunguza madaraka ya rais, na vile vile kutatua masuala muhimu kuhusiana na ardhi.
Upande unaounga mkono katiba hiyo, unaongozwa na Rais Mwai Kibaki na waziri mkuu Raila Odinga ambaye amesema ana imani kuwa upande wake utajipatia ushindi. Wanaoipinga katiba hiyo akiwemo Rais mstaafu Daniel Arap Moi na wanasema iwapo itapitishwa itayafanya mambo kuwa mabaya zaidi nchini humo.
Naye Waziri wa Elimu ya Juu, William Ruto, ambaye aliongoza kampeni za kupinga katiba hiyo inayopendekezwa amesema mrengo wake unakabiliwa na jukumu muhimu ikiwa utashinda ama kushindwa.
Matokeo ya mapema yanatarajiwa kuanza kutangazwa kuanzia saa nne usiku (Kenya) na matokeo rasmi kutangazwa hapo siku ya Ijumaa.
Kwa habari zaidi nenda
Twiga Stars beat The Northwest Nationals FC 2-0!!
Tonight Tanzania's National Women's Football team, the Twiga Stars, took on the Northwest National Reds U-18 in a friendly match at the Starfire Sports Complex south of Seattle, Washington, USA.
Despite having traveled for almost two full days, spending 28 hours on planes and arriving only the night before, the Twiga Stars beat their American opponents 2-0, with goals by Eto Mlenzi and Esther "Lunyamila" Chabruma.
The Northwest Nationals are one of the top youth soccer clubs in Washington State, and many of their players each season go on to earn soccer scholarships at top universities. The Twiga Stars are currently on their USA training trip sponsored by Ms. Rahma Al-Kharoosi, president of RBP Oil & Industrial Technology Ltd.
While in the USA, the Twiga Stars will be playing a number of matches, including a special showcase match on August 7 against the Seattle Sounders Women's Team, who play in the USL W-League, the second tier of USA women's soccer. The aim of the trip is to gain experience before the African Women's Championship to be held in South Africa this October.
The Twiga Stars qualified for the continental finals by beating Ethiopia 4-2 on aggregate, then beating Eritrea 11-3 on aggregate. http://www.twigastars.com/
Subscribe to:
Posts (Atom)
ME MYSELF & I
THE DON HIMSELF
Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)