Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia
utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na
wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St
Gaspar mjini Dodoma
(PICHA NA IKULU)

Gaspar mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wakuu wa serikali pamoja na
wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa
kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu
wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi
wa St Gaspar mjini Dodoma.
Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala
akitoa mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia
utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na
wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St
Gaspar mjini Dodoma
Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati
akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya
maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali
leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma

No comments:
Post a Comment