Aug 21, 2012

PICHA TISA ZA BALAA ZA BARABARANI KUTOKA DAR MPAKA MOSHI.


Hizi picha nimezipiga kwenye safari ya kutokea Dar mpaka Moshi, hii ajali ya kwanza ilitokea karibu na Mlandizi ambapo hili lori la nyuma ndio lililigonga la mbele.
.
.
Hapa ni kwenye moja kati ya kona za mto wami.
Kwenye kituo cha polisi Wami, haya ni magari ya Wakenya waliopoteza maisha kwenye ajali Tanga wakati wakisafiri kwenda Dar es salaam.
.
Hii ni karibu na Segera.
Hili lori la njano lilishindwa kuendelea na safari baada ya kukwama kwenye matope.
kwa hisani ya www.millardayo.com

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA