Aug 21, 2012

MVIVU, MCHELEWAJI MAZOEZINI NA UTOVU WA NIDHAMU VYAMUONDOA ALEX SONG ARSENAL - ATAMBULISHWA RASMI BARCA





Wakati baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakiwa wana maumivu ya kuondokewa na mchezaji wao muhimu wa pili ndani ya wiki moja, Alex Song, taarifa zainasema kwamba kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger amemuachia kiurahisi mcameroon huyo baada ya kuchoswa na utovu wa nidhamu wa mchezaji huyo, uchelewaji wa kwenye mazoezi na uvivu alionao. Kutokana na tabia zake hizo Wenger hakusita hata mara moja ilipokuja ofa ya Barcelona ya kumsajili Song kwani ilikuwa ni kumuondolea mzigo alioubeba bila kupenda katika kipindi kirefu kilichopita, kuondoka kwa Song kumefungua njia kwa Arsenal kuweza kushinda mbio za usajili wa mkopo wa Nuri Sahin kutoka Real Madrid.

Wakati Wenger akisema cha nini - Barcelona walikuwa wanasema watakipata lini. Pichani Alexander Song akiwa anatambulishwa rasmi baada ya kujiunga na klabu yake mpya ya Barcelona.(kwa hisani ya shaffihdauda.com)

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA