
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame akiondoka mara baada ya kutangaza matokeo ya kura katika majimbo 34 leo, Mkurugenzi wa Tume hiyo Bw. Rajab Kiravu amesema matokeo katika majimbo mengine yataendelea kutolewa kuanzia saa kumi leo jioni. Mpaka sasa Tume ya Uchaguzi imeshatangaza matokeo ya uchaguzi ya rais katika majimbo 147 na majimbo ambayo bado hayajatangazwa ni 92 kazi ambayo itaenelea leo jioni hiyo saa kumi.

Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Lewis Makame akitangaza matokeo ya kura za urais katika kituo cha kutangazia matokeo kilichopo Paradise City jijini Dar es salaam.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi matokeo ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika jumapili iliyopita nchini kote wakati mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC alipokuwa makitangaza matokeo ya majimbo 34 leo kwenye kitu cha kutangazia matokeo kilichopo Paradise City Hoteli Posta jijini Dar es salaam kutoka kulia ni Ashura wa redio Tumaini, Maulid Ahmed Daily News, Khadija na Asha Ban
No comments:
Post a Comment