Sep 13, 2010

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIKAGUA MIRADI MIKUMII!!

1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakikagua jengo la Hoteli ya Mikumi Wiild Life Lodge wilayniKilosa ambalo liliteketea kw amoto 6/8/2006 na hadi leo limebaki kuwa gofu. Alikiwa katika mapumziko ya Idd Septemba 11, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, John Shemkunde kukagua jengo la Hoteli ya Mikumi Wiild Life Lodge wilayniKilosa ambalo liliteketea kw amoto 6/8/2006 na hadi leo limebaki kuwa gofu. Alikiwa katika mapumziko ya Idd Septemba 11, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua jengo la Hoteli ya Mikumi Wiild Life Lodge wilayniKilosa ambalo liliteketea kw amoto 6/8/2006 na hadi leo limebaki kuwa gofu. Alikiwa katika mapumziko ya Idd Septemba 11, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

THE DON HIMSELF

Karibuni sana kwenye blog hii ya kijamii iliyosheheni makila kitu kuanzia siasa uchumi afya na burudani kwa ujumla wake.uingiapo kwenye blog hii ni mengi ambayo utapata nafasi ya kukutana nayo,kumbuka mawazo yako ndo hasa yanayojenga na kunifanya niwe na ufanisi zaidi.kariiiiiiibuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa.(THE DJ HIMSELF-JIWE)

Followers

BLOG ZA MARAFIKI

Search This Blog

ZILIZOPITA

DUNIA MUZIMA