Msanii mwenye mistari yenye ujumbe mzuri na kumfikia mtu kwa haraka ujumbe wake Mrisho Mpoto, ametoa wimbo wake mpya kama wiki na nusu sasa unaoitwa Adela akiwa amemshirikisha msanii Ismail aliyeimba kiitikio cha wimbo huu.Wimbo huu Mpoto anamzungumzia Adela kwamba anyooshe kidole na hana nia mbaya yakumrudisha darasani, Studio ya Fishcrab chini ya Producer Lamar ndio umeutengeneza wimbo huu.
Ufuatilie wimbo huu mpya wa Mpoto ili upate na wewe ujumbe uliopo ndani ya wimbo huu wa Adela.
No comments:
Post a Comment