kama ulikuwa unadhani wachina ni hodari kwa kutengeneza simu pekee umekosea,wachina kwenye maonesho haya ya saba saba huwezi amini wamekuja na bidhaa ambazo kilo yake dukani kwa mangi inauzwa sh miatano,nazungumzia misumari ya bati hata scrub ambazo kwa meku tunanunua sh mia kwa kila scruu moja.
kama huamini hebu cheki meneja masoko wa mlimani tv na raadio akipiga domo na muuzaji wa bidhaa toka china,hapa jamaa anakamuliwa panga kwa buku tano huku jamaa akitaka kupunguziwa walau alipe buku mbili.
muonekeno wa banda la wachina katika picha
hapa jamaa wanaangalia kiwafaacho ili waweze kubeba aisee.
umeiona misumari?




No comments:
Post a Comment