Anajulikana kama Pico aka Mzee wa Kikongwe ambaye hakika alisumbua sana alipotambulishwa kwa mara ya kwanza kwenye ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya na kukonga sana nyoyo za mashabiki wa muziki huo na kiasi ambacho hakika aliweza kuwa juu.jamaa alipotea tena kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya kabla ya hivi karibuni kurejea tena na ngoma kali iliyojaa UDAKU wa kila namna inayojulikana kama GAZETI.Na kwa taarifa nilizozipata toka kwa meneja wake GURU RAMADHANI ni kwamba jamaa atakuwa chini ya yake.
No comments:
Post a Comment