jamaa ambaye ameweza kuwadhihirishia umma wa watanzania kuwa ulinzi na umakini wa kamanda kova ni kwa walevi wa bangi na gongo baada ya kufanikiwa kuingia kwenye uwanja mkuu wa taifa na kufanikiwa kupata huge toka kwa kiungo mahiri wa real madrid ya hispania na brazil kaka.baada ya kufanikisha dhamira yake jamaa alishangilia kwa nguvu huku askari wakimuangalia na wasijue la kufanya mpaka pale kaka alipomtaka atoke ili waendelee kusukuma gozi kama kawa ndipo jamaa alipotoka na kushangilia kwa nguvu kana kwamba alipiga hat trick.je kwa hili mazoezi waliyofanya polisi kudhibiti raia wasifanya fujo kwenye mtanange huo yalikuwa ya nini?KOVA MH?
No comments:
Post a Comment